Mwanzoni watu walijiuliza inawezekanaje Jay Z na Beyonce marafiki wakubwa wa Kanye West kukosa harusi yake, sababu kubwa ya Jay Z na Beyonce kutohudhuria kwenye harusi ile rasmi ilianzia kwenye mapigano kwenye lifti, Ingawa Newyork post wanasema hii ndio sababu ya kweli:-
“Waliepuka harusi ya Kanye West na Kim Kardashian kwa sababu ilikuwa sio ya gharama sana kwa thamani ya Jay Z na Beyonce kuhudhuria, Wanalinda sana heshima yao, Beyonce asinge mruhusu Kardashian kuwa nae, Jay Z hakutaka Kanye West kuwa na Kardashian, anadhani ni mbaya kibiashara, Nadhani pale Jay Z alipoteza heshima kwa Kanye West”
Kama Ulikuwa Hujui Hii Ndo Sababu Ya Jay Z Na Beyonce Kutohudhuria Harusi Ya Kanye West Na Kim Kardashian
Previous Story
Somali Nchi Mbaya Zaidi Kwa Kinamama - Save The Children
Next Story
Papa Francis Aomba Amani
Related Posts
-
-
Video Ya Prezzo Haina Maadil Ya Ki Afrika. Vitendo vya usagaji vyatawalaμKuzuiwa kuchezwa.
-
“Dala Dala Beach Party” @ Wantash Masaki!! 2 Days To Go!! Turn Up!!
-
Mashabiki Wamshambulia Davido Wakimuita Muongo
-
Mastar Wa Marekani Washindana Kwa Picha Za Utupu, Baada ya Rihanna, Kim Kardashian Sasa Ni Zamu Ya Venus William
-
Rich Mavoko Na Rabit Kufanya Colabo!!
-
Sitoki Na Geneviev Wala Sijawahi Kufikiria – D’Banj Afunguka