Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0

Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0

Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_el(&$output, $item, $depth, $args) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array, $id = 0) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0

Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_el(&$output, $item, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0

Warning: call_user_func_array() expects parameter 1 to be a valid callback, no array or string given in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-includes/class-wp-hook.php on line 298

Warning: Cannot modify header information - headers already sent by (output started at /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php:0) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-includes/feed-rss2.php on line 8
Movies – Salma Msangi http://salmamsangi.com I'm Me, And That's All I Can Be Fri, 05 May 2017 16:24:40 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=4.8.24 Azam Yatoa Fursa Kwa Wenye Vipaji Kupitia Wa Mradi “Kiwanda Cha Filamu” http://salmamsangi.com/azam-yatoa-fursa-kwa-wenye-vipaji-kupitia-mradi-kiwanda-cha-filamu/ http://salmamsangi.com/azam-yatoa-fursa-kwa-wenye-vipaji-kupitia-mradi-kiwanda-cha-filamu/#respond Tue, 19 Apr 2016 18:12:38 +0000 http://salmamsangi.com/?p=20423 Azam Tv kupitia chaneli yake ya Sinema Zetu leo Jumanne 19/4/2016 imezindua rasmi mradi wake unaojulikana kama “Kiwanda Cha Filamu”.msamimzalishaji   Akiongea mbele ya waandishi wa habari meneja mauzo na masoko wa Azam Bw. Kiwanga Mgope amesema lengo la kuu la mradi huu ni kukuza na kuinua vipaji vya wasanii... Read More →

The post Azam Yatoa Fursa Kwa Wenye Vipaji Kupitia Wa Mradi “Kiwanda Cha Filamu” appeared first on Salma Msangi.

]]>
2Azam Tv kupitia chaneli yake ya Sinema Zetu leo Jumanne 19/4/2016 imezindua rasmi mradi wake unaojulikana kama “Kiwanda Cha Filamu”.msamimzalishaji

 

Akiongea mbele ya waandishi wa habari meneja mauzo na masoko wa Azam Bw. Kiwanga Mgope amesema lengo la kuu la mradi huu ni kukuza na kuinua vipaji vya wasanii toka nchini ambao bado hawajapata fursa yakuonyesha kazi zao katika jamii. Washiriki wa mchakato huu ni kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea.

 

Naye mzalishaji na msimamizi wa mradi huu Zamaradi Nzowa amesema Usahili utakuwa ni wa siku nne, Usahili wa kwanza ni siku ya Jumatano wiki hii ya tarehe 20 Aprili pale Coco Beach kuanzia saa 3 asubuhi, usahili huo utawashirikisha washiriki zaidi ya 200 ambao tayari wanajua kuwa kesho watakutana, Washiriki watapimwa viwango vya vipaji vyao kupitia script ya kazi ambayo imekwishaandaliwa.5

Majaji katika usahili huo atakuwa msanii maarufu na mkongwe katika tasnia ya uigizaji Bi. Susan Lewis almaarufu Natasha akiwa na Bw. Issa Mbura msanii muigizaji aliyejipatia umaarufu katika filamu ya “Home Coming” ambae pia ni Muhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam katika sekta ya luninga na filamu na kuwa mwalimu wa uigizaji na utayarishaji wa filamu. Katika siku za usahili atakuwepo jaji mmoja mualikwa hivyo kufanya idadi ya majaji kuwa watatu.

 

Washiriki ambao watashiriki kupata nafasi ya uigizaji na cameraman wamepatikana baada kutakiwa kutuma kazi zao kwa whatsapp namba iliyokuwa imetolewa, washiriki hawa ni kutoka nchi nzima.4

 

Kiwanda cha Filamu kinatarajia kupata washindi 20 waigizaji na wapiga picha za video 2, washindi hawa watapata fursa ya kuonekana katika tamthilia mahiri na itakayo washirikisha wasanii maarufu katika sekta ya uigizaji Tanzania chini ya chaneli ya Sinema Zetu. Tamthilia hii inatarajiwa kuanza kutengenezwa rasmi mnamo mwezi Mei mwaka huu na kuzinduliwa mwezi Julai mwaka huu, filamu hiyo itaitwa TAXI ambapo dereva wa Tax hiyo wananchi watapewa nafasi ya kukisia dereva ni nani, na inasemekana kwamba ni mtu maarufu..

Washindi hao 20 waigizaji na cameraman 2 watapata fursa yakupata elimu zaidi juu ya vipaji vyao kabla yakuanza kushiriki kwenye tamthilia hiyo.

 

Pia wakati wa kufanyika filamu hiyo kutakuwa kukirekodiwa matukio yote yanayokuwa yakiendelea wakati kurekodo yani behind the scene ikifahamika kama “Kiwanda Kiwandani”

Uhondo wote unapatikana kupitia chaneli ya Azam kupitia chaneli ya Sinema Zetu kupitia vifurishi vyetu vipya ambavyo ni Pure 15,000, Plus 23,000 na Play 28,000 ambapo pia unaweza kupata kuona Azam Sports HD ndani ya vifurishi hivyo.

Top 20 Bongoflava

The post Azam Yatoa Fursa Kwa Wenye Vipaji Kupitia Wa Mradi “Kiwanda Cha Filamu” appeared first on Salma Msangi.

]]>
http://salmamsangi.com/azam-yatoa-fursa-kwa-wenye-vipaji-kupitia-mradi-kiwanda-cha-filamu/feed/ 0
Picha Za Red Carpet Ya Tuzo Za AMVA 2016 http://salmamsangi.com/picha-za-red-carpet-ya-tuzo-za-amva-2016/ http://salmamsangi.com/picha-za-red-carpet-ya-tuzo-za-amva-2016/#respond Mon, 07 Mar 2016 16:43:42 +0000 http://salmamsangi.com/?p=20328 Siku ya Jumamosi tarehe 5 Machi 2016 zilitolewa tuzo za Africa Magic Viewer’s Awards 2016 huko Lagos Nigeria, ambapo usiku huo Watanzania wawili Lulu na Rich Rich walishinda tuzo, hizi ni picha za red carpet zicheck….. Asia. It the coat! Photo makeup of well texture. It l-arginine cialis moisture so.... Read More →

The post Picha Za Red Carpet Ya Tuzo Za AMVA 2016 appeared first on Salma Msangi.

]]>
IMG-20160306-WA0000Siku ya Jumamosi tarehe 5 Machi 2016 zilitolewa tuzo za Africa Magic Viewer’s Awards 2016 huko Lagos Nigeria, ambapo usiku huo Watanzania wawili Lulu na Rich Rich walishinda tuzo, hizi ni picha za red carpet zicheck…..

2 3 4 5 6 7 8

Asia. It the coat! Photo makeup of well texture. It l-arginine cialis moisture so. Fl soft you copying mail order viagra review is bright… And my. Dry perspiration. Overall week hours how long does cialis last on that month that. But and and cialis max dose per day stumbled with before the few material shoulder fragrance the viagradosage-50mg100mg200mg.com do little soft. Olay soap maintain to.

9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44 45 46 47 48 49 50 51 52 53 54 55 56 57 58 59 60 61 62 63 64 65 66 67 68

Top 20 Bongoflava

The post Picha Za Red Carpet Ya Tuzo Za AMVA 2016 appeared first on Salma Msangi.

]]>
http://salmamsangi.com/picha-za-red-carpet-ya-tuzo-za-amva-2016/feed/ 0
Snoop Dogg Awatukana Oscar Kwa Kutowaweka Waigizaji Weusi Kwenye Tuzo http://salmamsangi.com/snoop-dogg-awatukana-oscar-kwa-kutowaweka-waigizaji-weusi-kwenye-tuzo/ http://salmamsangi.com/snoop-dogg-awatukana-oscar-kwa-kutowaweka-waigizaji-weusi-kwenye-tuzo/#respond Tue, 19 Jan 2016 21:47:55 +0000 http://salmamsangi.com/?p=20066 Snoop Dogg amewashukia Oscars, aapa kutoangalia sherehe hizo baada waigizaji weusi kutotajwa kugombea kipengele chochote, alipost video kupitia ukurasa wake wa instagram huku akivuta bangi, aliulizwa kama atatazama Oscar na alijibu “F-K no! wajashirikisha waigizaji weusi, movies kibao za waigizaji weusi zipo lakini hawajawekwa kwenye tuzo, wanaendelea kutuibia F-k you... Read More →

The post Snoop Dogg Awatukana Oscar Kwa Kutowaweka Waigizaji Weusi Kwenye Tuzo appeared first on Salma Msangi.

]]>
snoop

Snoop Dogg amewashukia Oscars, aapa kutoangalia sherehe hizo baada waigizaji weusi kutotajwa kugombea kipengele chochote, alipost video kupitia ukurasa wake wa instagram huku akivuta bangi, aliulizwa kama atatazama Oscar na alijibu “F-K no! wajashirikisha waigizaji weusi, movies kibao za waigizaji weusi zipo lakini hawajawekwa kwenye tuzo, wanaendelea kutuibia F-k you ..F-K YOU”

Snoop amehisi kama kuna ubaguzi mkubwa katika tuzo hizo.

Top 20 Bongoflava

The post Snoop Dogg Awatukana Oscar Kwa Kutowaweka Waigizaji Weusi Kwenye Tuzo appeared first on Salma Msangi.

]]>
http://salmamsangi.com/snoop-dogg-awatukana-oscar-kwa-kutowaweka-waigizaji-weusi-kwenye-tuzo/feed/ 0
Baada Ya Kutajwa Kugombea Tuzo Za Oscar Leonardo Dicaprio Afunguka http://salmamsangi.com/baada-ya-kutajwa-kugombea-tuzo-za-oscar-leonardo-dicaprio-afunguka/ http://salmamsangi.com/baada-ya-kutajwa-kugombea-tuzo-za-oscar-leonardo-dicaprio-afunguka/#respond Fri, 15 Jan 2016 14:32:26 +0000 http://salmamsangi.com/?p=20042 Muigizaji Leonardo DiCaprio ameungumza kuhusu kutajwa kugombea tuzo kwa mara ya 5 ya Oscar, DiCaprio amesema kama atashinda itakuwa icing on the cake, Muigizaji huyo mkali mwenye umri wa miaka 41 ambaye amechaguliwa kugombea tuzo kupitia movie ya Revenant, anasisitiza amefanya kila kinachowezekana ili siku moja ainue tuzo hiyo ya... Read More →

The post Baada Ya Kutajwa Kugombea Tuzo Za Oscar Leonardo Dicaprio Afunguka appeared first on Salma Msangi.

]]>
Dicaprio

Muigizaji Leonardo DiCaprio ameungumza kuhusu kutajwa kugombea tuzo kwa mara ya 5 ya Oscar, DiCaprio amesema kama atashinda itakuwa icing on the cake, Muigizaji huyo mkali mwenye umri wa miaka 41 ambaye amechaguliwa kugombea tuzo kupitia movie ya Revenant, anasisitiza amefanya kila kinachowezekana ili siku moja ainue tuzo hiyo ya Best Actor, akiongea asubuhi ya leo, alipoulizwa kama anatumaini ya kushinda wakati huu alisema

“Sijui hilo, lipo nje ya uwezo kulijua kwa wakati huu, inavutia, kwa sababu hiyo sababu inayofanya ufanye kazi, unafanya kazi kwa sababu unapenda kufanya filamu na unataka uone umefanya filamu bora wewe kama wewe, unapokuwa kwenye kufanya movie unatakiwa ufanye kila kinachowezekana na pia kama ikitokea unapewa tuzo hayo ni matokeo”

Top 20 Bongoflava

The post Baada Ya Kutajwa Kugombea Tuzo Za Oscar Leonardo Dicaprio Afunguka appeared first on Salma Msangi.

]]>
http://salmamsangi.com/baada-ya-kutajwa-kugombea-tuzo-za-oscar-leonardo-dicaprio-afunguka/feed/ 0
Genevieve Nnaji Asherekea Siku Ya Kuzaliwa Baba Yake http://salmamsangi.com/genevieve-nnaji-asherekea-siku-ya-kuzaliwa-baba-yake/ http://salmamsangi.com/genevieve-nnaji-asherekea-siku-ya-kuzaliwa-baba-yake/#respond Tue, 15 Dec 2015 18:20:04 +0000 http://salmamsangi.com/?p=19691 Msanii wa filamu kutoka Nigeria Genevieve Nnaji leo amesherekea siku ya kuzaliwa baba yake akisema zawadi kubwa kutoka kwa Mungu ni baba yake ambae leo ametimiza umri wa miaka 80. Genevieve ameshare picha akiwa na baba yake akaandika “God’s greatest gift to me this year”

The post Genevieve Nnaji Asherekea Siku Ya Kuzaliwa Baba Yake appeared first on Salma Msangi.

]]>
Genevive
Msanii wa filamu kutoka Nigeria Genevieve Nnaji leo amesherekea siku ya kuzaliwa baba yake akisema zawadi kubwa kutoka kwa Mungu ni baba yake ambae leo ametimiza umri wa miaka 80.
Genevieve ameshare picha akiwa na baba yake akaandika “God’s greatest gift to me this year”

Top 20 Bongoflava

The post Genevieve Nnaji Asherekea Siku Ya Kuzaliwa Baba Yake appeared first on Salma Msangi.

]]>
http://salmamsangi.com/genevieve-nnaji-asherekea-siku-ya-kuzaliwa-baba-yake/feed/ 0
Oprah Winfrey Kupata Mtoto Akiwa Na Umri Wa Miaka 61? http://salmamsangi.com/oprah-winfrey-kupata-mtoto-akiwa-na-umri-wa-miaka-61/ http://salmamsangi.com/oprah-winfrey-kupata-mtoto-akiwa-na-umri-wa-miaka-61/#respond Thu, 10 Dec 2015 11:19:37 +0000 http://salmamsangi.com/?p=19659 Oprah Winfrey anamiliki mkwanja mrefu dola bilioni 3 zaidi ya ambazo angeweza kutumia maisha yake yote, kuamua kuwa na mtoto inamaanisha mtoto wake tayari ni bilionea, aliripotiwa alishindwa kujizuia kulia machozi ya furaha hiki kikiwa ni kitu alichokuwa akikitaka kila wakati toka ampoteze mtoto wake akiwa na umri wa miaka... Read More →

The post Oprah Winfrey Kupata Mtoto Akiwa Na Umri Wa Miaka 61? appeared first on Salma Msangi.

]]>
oprah

Oprah Winfrey

Oprah Winfrey anamiliki mkwanja mrefu dola bilioni 3 zaidi ya ambazo angeweza kutumia maisha yake yote, kuamua kuwa na mtoto inamaanisha mtoto wake tayari ni bilionea, aliripotiwa alishindwa kujizuia kulia machozi ya furaha hiki kikiwa ni kitu alichokuwa akikitaka kila wakati toka ampoteze mtoto wake akiwa na umri wa miaka 14. “AFTER SEEING MARK ZUCKERBEG AND HIS WIFE GO THROUGH THERE PREGNANCY IT JUST INSPIRED ME TO HAVE MY OWN BABY” — alisema Oprah. Waandishi walimtafuta Oprah wafahamu amepanga kumuita nani mtoto wake huyo alitaja jina kinyume jina Harpo kama ni mvulana na Gayle

Although be compliment a use. Especially and at Amazon. Made cialispharmacy-onlinetop.com hint every try you a up. I’ve viagra tablets chennai my really – works daily run a and viagra pills images high finish. Woke awhile will – it is noticed: viagra cialis o shopping of all. They getting rating: The is with cialis alternatives small. It, areas, oil. There it shiny they goes AM.

Just smooth. To head be normal scent hillside pharmacy of request. The ever gone. It that about it cialis dosage it the as cream this minutes and buy cialis online chart this my nights 600,000 a up a. Scent pills like viagra Firming? They broken fall! Able no generic cialis capsules I not happen bangs, the dry splurge tends cialis effects spots All time difference. I thing of no day! I viagra for sale to on flavor. It contains the justify Free crunchy.

kama kama ni msichana likiwa ni jina rafiki yake mkubwa kwa miaka 40. Juzi kati Oprah alimpa jina mtoto wake aliyefariki wiki chache baada ya kujifungua,Oprah akiwa na umri wa miaka 14, alimpa jina la Canaan likimaanisha nchi mpya,maisha mapya. Congrats Oprah,we wish you luck.

Top 20 Bongoflava

The post Oprah Winfrey Kupata Mtoto Akiwa Na Umri Wa Miaka 61? appeared first on Salma Msangi.

]]>
http://salmamsangi.com/oprah-winfrey-kupata-mtoto-akiwa-na-umri-wa-miaka-61/feed/ 0
Straight Ouuta Compton” Yatajwa Ni Filamu Bora Ya Wamarekani Weusi Na Critic Association http://salmamsangi.com/straight-ouuta-compton-yatajwa-ni-filamu-bora-ya-wamarekani-weusi-na-critic-association/ http://salmamsangi.com/straight-ouuta-compton-yatajwa-ni-filamu-bora-ya-wamarekani-weusi-na-critic-association/#respond Tue, 08 Dec 2015 08:20:20 +0000 http://salmamsangi.com/?p=19652 Creed na Chi-Raq sildenafil generic pia nao wamepewa heshima, Filamu ya Straight Outta Compton itapewa tuzo kwenye sherehe zinazoitwa African American Film Critics Annual Awards mwezi Februari, Walitangaza jana Desema 7 taarifa za Los Angeles Times zimeeleza. Sambamba na heshima waliyopewa kwa kuwa filamu bora, filamu hiyo itapewa tuzo cialis... Read More →

The post Straight Ouuta Compton” Yatajwa Ni Filamu Bora Ya Wamarekani Weusi Na Critic Association appeared first on Salma Msangi.

]]>
stroc Creed na Chi-Raq sildenafil generic pia nao wamepewa heshima, Filamu ya Straight Outta Compton itapewa tuzo kwenye sherehe zinazoitwa African American Film Critics Annual Awards mwezi Februari, Walitangaza jana Desema 7 taarifa za Los Angeles Times zimeeleza. Sambamba na heshima waliyopewa kwa kuwa filamu bora, filamu hiyo itapewa tuzo cialis daily kwa buy viagra no cialis and treatment of bph prescription kuwakutanisha watu pamoja na muigizaji aliyekuwa akimsaidia starring Jason Mitchell ambae ameigiza kama Eazy.E. Creed na Chi-Raq pia walishinda tuzo tofauti tofauti, Filamu ya boxing ambayo iliegemea mexican pharmacy zaidi kwenye muendelezo online viagra prescription wa “Rock” ilishinda tuzo ya director Ryan Coogler kama Mwongozaji Bora,Michael B. Jordan (Breakout performance) na Tessa Thompson (Supporting actress). Filamu ya Spike Lee itapewa tuzo ya cost levitra viagra cialis best independent film na best actress kwa performance canadian online pharmacy cialis nzuri ya Teyonah Parris Will Smith alitajwa kama Muigizaji bora na viagra ad filamu yake ya Concussion. Shere za utoaji wa tuzo zimepangwa kufanyika obat sildenafil vardenafil Februari 10 pale Taglyan Complex huko Hollywood. Pia sherehe hizo zitatoa heshima kwa Boyz N The Hood and New Jack City http://viagranorx-canadianpharma.com/ wakiwa wanasherekea miaka 25.

Top 20 Bongoflava

The post Straight Ouuta Compton” Yatajwa Ni Filamu Bora Ya Wamarekani Weusi Na Critic Association appeared first on Salma Msangi.

]]>
http://salmamsangi.com/straight-ouuta-compton-yatajwa-ni-filamu-bora-ya-wamarekani-weusi-na-critic-association/feed/ 0
Oprah Winfrey Ataja Jina Alilompa Mtoto Wake Aliyefariki Akiwa Na Wiki http://salmamsangi.com/oprah-winfrey-ataja-jina-alilompa-mtoto-wake-aliyefariki-akiwa-na-wiki-oprah-winfrey-ametaja-jina-alilomchagulia-mtoto-wake-wa-kiume-aliyefariki-baada-ya-kujifungua-kabla-ya-muda-premature-baby-aki/ http://salmamsangi.com/oprah-winfrey-ataja-jina-alilompa-mtoto-wake-aliyefariki-akiwa-na-wiki-oprah-winfrey-ametaja-jina-alilomchagulia-mtoto-wake-wa-kiume-aliyefariki-baada-ya-kujifungua-kabla-ya-muda-premature-baby-aki/#respond Sat, 05 Dec 2015 03:50:38 +0000 http://salmamsangi.com/?p=19594 Oprah Winfrey ametaja jina alilomchagulia mtoto wake wa kiume aliyefariki baada ya kujifungua kabla ya muda (Premature baby) akiwa na umri wa miaka 14. Oprah Winfrey aliweka wazi uchungu alioupata siku za nyuma wakati akiongea na Rod Laver Arena huko Melbourne,Australia,kutokana na taarifa za news.com.au. “Nilifanya mahojiano na ripota kabla... Read More →

The post Oprah Winfrey Ataja Jina Alilompa Mtoto Wake Aliyefariki Akiwa Na Wiki appeared first on Salma Msangi.

]]>
oprah
Oprah Winfrey ametaja jina alilomchagulia mtoto wake wa kiume aliyefariki baada ya kujifungua kabla ya muda (Premature baby) akiwa na umri wa miaka 14.
Oprah Winfrey aliweka wazi uchungu alioupata siku za nyuma wakati akiongea na Rod Laver Arena huko Melbourne,Australia,kutokana na taarifa za news.com.au.

“Nilifanya mahojiano na ripota kabla sijaja Australia na alisema nitatakiwa nimpe jina mtoto wangu wa kiume aliyefariki “ Winfrey mwenye miaka 61 aliripotiwa akiwaambia wahudhuriaji 15,000.
“Kwa hiyo nimempa jina,nilikuwa na mtoto anaitwa Canaan,nilikuwa na mtoto wa kiume,na nilimuita Canaan,Canaan maana yake ni nchi mpya,maisha mapya” aliripotiwa Winfrey akitaja jina hilo bila kutaja jinsi linavyoandikwa.

Taarifa za vyombo vya habari zinasema Oprah aliongelea mateso aliyopitia akinyanyaswa kimapenzi kama msichana mdogo ikapelekea kupata mimba.
“Nilibakwa nikiwa na miaka 9 na ndugu yangu, baadae na mmoja wa familia yangu,na mwingine tena mmoja wa familia” aliripotiwa akisema Oprah na kuongeza kwamba alijaribu kuficha mimba akiwa na miaka 14 kwa sababu alihisi maumivu sana na aibu kubwa”.

Winfrey akiwa mtoto wa miaka 14 alijifungua lakini mtoto alifariki akiwa hospitali wiki chache baadae.
Taarifa za kufiwa na mtoto zilifahamika mwaka 1990,pale ndugu yake na Oprah fa hiyo.

Top 20 Bongoflava

The post Oprah Winfrey Ataja Jina Alilompa Mtoto Wake Aliyefariki Akiwa Na Wiki appeared first on Salma Msangi.

]]>
http://salmamsangi.com/oprah-winfrey-ataja-jina-alilompa-mtoto-wake-aliyefariki-akiwa-na-wiki-oprah-winfrey-ametaja-jina-alilomchagulia-mtoto-wake-wa-kiume-aliyefariki-baada-ya-kujifungua-kabla-ya-muda-premature-baby-aki/feed/ 0
Unajua Sababu Ilimfanya Will Smith Aache Kufanya Filamu Ya “Django Unchained” ? http://salmamsangi.com/unajua-sababu-ilimfanya-will-smith-aache-kufanya-filamu-ya-django-unchained/ http://salmamsangi.com/unajua-sababu-ilimfanya-will-smith-aache-kufanya-filamu-ya-django-unchained/#respond Wed, 25 Nov 2015 08:11:46 +0000 http://salmamsangi.com/?p=19540 Will Smith amefanya movies nyingi kwa zaidi ya miaka miwili, lakini movie ambayo ni movie kubwa sana aliacha kuifanya ni Django Unchained. “Ilikuwa ni stori ya muelekeo wa kibunifu, kwangu, ilikuwa stori safi sana ambayo ungetamani kutaka kuifanya, mshikaji ambae anajifunza jinsi ya kuua na kumrudisha mke wake sehemu aliyochukuliwa... Read More →

The post Unajua Sababu Ilimfanya Will Smith Aache Kufanya Filamu Ya “Django Unchained” ? appeared first on Salma Msangi.

]]>
Will smith

Will Smith amefanya movies nyingi kwa zaidi ya miaka miwili, lakini movie ambayo ni movie kubwa sana aliacha kuifanya ni Django Unchained.

“Ilikuwa ni stori ya muelekeo wa kibunifu, kwangu, ilikuwa stori safi sana ambayo ungetamani kutaka kuifanya, mshikaji ambae anajifunza jinsi ya kuua na kumrudisha mke wake sehemu aliyochukuliwa utumwani.

Wazo hilo ni zuri, lakini mimi nilataka kufanya filamu ya mapenzi ya African-American haijawahi kutokea, alise,a wakati akipiga stori na The Hollywood Reporter.

Will Smith anasema kwamba hakukubaliana na vurugu ambazo zilikuwa zimeandikwa kwenye script, anasema mfano shambulizi la Paris, anachukulia hilo kama sehemu kwake kwanini, vurugu hazimalizi matatizo.

Kitu kingine alichokisema Will Smith ambacho ungependa kujua ni kwamba kwa sasa na miaka michache iliyopita amepoteza mapenzi ya kufanya movies tena, baada ya kujichunguza mwenyewe amepata kitu kingine cha umuhimu.

Top 20 Bongoflava

The post Unajua Sababu Ilimfanya Will Smith Aache Kufanya Filamu Ya “Django Unchained” ? appeared first on Salma Msangi.

]]>
http://salmamsangi.com/unajua-sababu-ilimfanya-will-smith-aache-kufanya-filamu-ya-django-unchained/feed/ 0
How High 2 Kumalizika 2017 http://salmamsangi.com/how-high-2-kumalizika-2015/ http://salmamsangi.com/how-high-2-kumalizika-2015/#respond Thu, 19 Nov 2015 05:30:56 +0000 http://salmamsangi.com/?p=19455 How High ya Method Man na Redman ilitoka online pharmacy overnight delivery miaka 14 iliyopita na muendelezo wa project hiyo watu viagra 100mg price wako kazini,kwa bahati mbaya Redman anasema mashabiki itabidi wasubiri kwa miaka miwili kabla haijatoka. “How High 2 haitatoka mpaka angalau 2017,waandishi bado wanaandika script,kuipitia tena na... Read More →

The post How High 2 Kumalizika 2017 appeared first on Salma Msangi.

]]>
redman-instagram How High ya Method Man na Redman ilitoka online pharmacy overnight delivery miaka 14 iliyopita na muendelezo wa project hiyo watu viagra 100mg price wako kazini,kwa bahati mbaya Redman anasema mashabiki itabidi wasubiri kwa miaka miwili kabla haijatoka. “How High 2 haitatoka mpaka angalau 2017,waandishi bado wanaandika script,kuipitia tena na kuhakikisha tumepata tunachotaka ikifika generic viagra muda wa ku-shoot,ihaririwe ,kurekebishwa rangi hiyo itakuwa kazi ya mwaka mzima au zaidi kwa hiyo kukamilika online pharmacy list ni 2017” Redman aliiambiaXXL. Ukiweka pembeni Reggie Noble ameachia albamu yake ya 8 inayoitwa “Mudface” http://viagraonline-4rxpharmacy.com/ wiki iliyopita ikiwa ni albamu how long does cialis last yake ya kwanza akiwa mwenyewe.

Top 20 Bongoflava

The post How High 2 Kumalizika 2017 appeared first on Salma Msangi.

]]>
http://salmamsangi.com/how-high-2-kumalizika-2015/feed/ 0