
Ukomavu wa kiuongozi huonekana wakati kama huu
Kutokana na kutoridhiswa kwa wananchi wa Korea Ya Kusini kwa jinsi serekali ilivyoshiriki baada ya tukio la kuzama kwa meli na kusababisha Vifo Wanafunzi na watu wengie waliokuwemo ndani ya meli hiyo
Waziri Mkuu Wa Nchi Hiyo Chung Hong-Won Amewajibika kwa kujiudhulu Wadhifa wake huo
Pamoja na kutumia Meli nyingine 34 helkopter 18 na njia nyingene katika swala zima la uokoaji lakini bado serekali ilikosolewa kwa jinsi ilivyolichukulia na kushiriki katika uokoaji wakati wa ajali hiyo
kutokana na kuonyesha kutoridhishwa kwao wanachi wa Korea Kusini waliwahi kumshambulia kwa kumrushia chupa za maji Kiongozi huyo wakati alipotembelea eneo la tukio
Kwetu katika maswala ya kuwajibika bado tunasafari ndefu…..
