Blue Ivy Ni Zawadi Kubwa Aliyowahi Kupewa Beyonce
Mkali wa muziki duniani, mwanamama Beyonce au mama Blue Ivy akiwa ni mtoto wake wa kike wa kwanza, ambae amemtaja kuwa ni mafanikio makubwa, katika vitu amevipata, mafanikio na kila, ila Blue Ivy mafanikio makubwa sana, alisema hayo wakati akiongea kwenye mahojiano. Beyonce (34) alikuwa akipiga stories na magazine ya… Read More →