Sio kila mume atakuwa kama kanye west, Mwanadada huyu mwenye umri wa miaka 32 kutoka Ukrain Alena Politukha Ameachwa na mume wake ambaye ni mwana siasa Not all husbands are like Kanye West and this Ukrainian beauty found out the hard way. 32 year old Alena Politukha was dumped by... Read More →
News
Beyonce looked very chic as she arrived at the Hilary Clinton prediential fundraiser which cost $3700 per person. She po co jest viagra @ starting dosage for cialis @ http://viagrapills-forsaleonline.com/ @ free cialis coupon @ canada pharmacy books looked really nice in her modets brown dress,minimal make up and open... Read More →
MBOWE AMTAKA MEYA WA JIJI LA ARUSHA KUONYESHA UTOFAUTI NA WAKATI CCM IKITAWALA
Meya wa jiji la Arusha ametakiwa kuonyesha utofauti na wakati wa halmashauri hiyo ilipokuwa chini ya CCM. Hayo yamesemwa na Mwenyenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe alipokutana na Meya wa jiji la Arusha, Mhe. Kalist Lazaro, na weheshimiwa wabunge... Read More →
MBOWE ACHANGIA UJENZI WA HOSPITALI AMBAYO ITAKUWA KUMBUKUMBU YA BIBI GAUDENSIA ALIYEFARIKI
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa jimbo la Hai, Mhe. Freeman Mbowe leo Jumatatu 8/8/2016 ameongoza viongozi wa vyama vya siasa na Serikali na wananchi kuchangia umaliziaji wa ujenzi wa hospitali ya Sambarai iliyopo Kibosho mkoani Kilimanjaro. Bibi Gaudensia Stambuli Kilawila ambaye amefariki na umri... Read More →
MAKUSANYO YA KODI KWA MWEZI APRIL 2016
Katika kipindi cha mwezi April 2016, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya shilingi Trilioni 1.035 ambayo ni sawa na asilimia 99.5 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 1.040 katika mwezi huo. Makusanyo ya kipindi cha miezi kumi (Juali 2015 hadi Aprili 2016) ni jumla ya Shilingi Trilioni 10.92 sawa... Read More →
Azam Yatoa Fursa Kwa Wenye Vipaji Kupitia Wa Mradi “Kiwanda Cha Filamu”
Azam Tv kupitia chaneli yake ya Sinema Zetu leo Jumanne 19/4/2016 imezindua rasmi mradi wake unaojulikana kama “Kiwanda Cha Filamu”.msamimzalishaji Akiongea mbele ya waandishi wa habari meneja mauzo na masoko wa Azam Bw. Kiwanga Mgope amesema lengo la kuu la mradi huu ni kukuza na kuinua vipaji vya wasanii... Read More →
Isaya Mwita Meya Mpya Wa Jiji La Dar es Salaam
Uchaguzi Meya Dar es salaam hatimaye umekuja na matokeo ambapo diwani wa Vijibweni Kigamboni jijini Dar es salaam, Mhe. Isaya Mwita wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo nchini (CHADEMA) ameibuka mshindi wa nafasi hiyo baada ya kuzitwaa kura 84 dhidi ya kura 67 za Yenga Omary-wa Chama Cha mapinduzi (CCM).... Read More →
@JideJayDee Na Gadner ( @CaptainTanzania ) Kuachana Kwao Ni Kick Kibiashara!? “Ndi Ndi Ndi” 3:33 AM Lady Jay Dee
Ukiongelea tasnia ya muziki nchini Tanzania hususani Bongo Flava, jina Lady Jay Dee linasikika kichwani kwako linaita Ndi “Ndi Ndi” LOL, majina yake mengine ni Mama Some Food, Binti Machozi, Commando Jide, tuache majina kwa sababu unaweza ukataja majina ukajaza ukurasa mzima, jina lake halisi ambalo lipo kwenye passport ni... Read More →
Blue Ivy Ni Zawadi Kubwa Aliyowahi Kupewa Beyonce
Mkali wa muziki duniani, mwanamama Beyonce au mama Blue Ivy akiwa ni mtoto wake wa kike wa kwanza, ambae amemtaja kuwa ni mafanikio makubwa, katika vitu amevipata, mafanikio na kila, ila Blue Ivy mafanikio makubwa sana, alisema hayo wakati akiongea kwenye mahojiano. Beyonce (34) alikuwa akipiga stories na magazine ya... Read More →
Picha Za Red Carpet Ya Tuzo Za AMVA 2016
Siku ya Jumamosi tarehe 5 Machi 2016 zilitolewa tuzo za Africa Magic Viewer’s Awards 2016 huko Lagos Nigeria, ambapo usiku huo Watanzania wawili Lulu na Rich Rich walishinda tuzo, hizi ni picha za red carpet zicheck….. Asia. It the coat! Photo makeup of well texture. It l-arginine cialis moisture so.... Read More →
Maazimio Ya Kikao Cha Kamati Kuu Ya Chadema Iliyokaa Machi 1/3/2016 Dar es salaam
Kamati Kuu ya Chama imesema kuwa tangu utawala wa awamu ya tano chini ya Serikali ya CCM ikiongozwa na Rais John Magufuli uingie madarakani, misingi ya uongozi bora na demokrasia ya vyama vingi imeyumba, kiasi cha kuiingiza nchi katika sintofahamu kubwa ya kisiasa, kiuchumi na kiutawala na kutishia mstakabali wa... Read More →
Lulu Ang’ara Lagos Kwenye Africa Magic Viewers Awards 2016
Kwa mara nyingine Tanzania imeendelea kufanya vizuri, kama unakumbuka wikiendi iliyopita Mtanzania mwanamasumbwi nchini Francis Cheka alishinda pambano la kimataifa na kubakiza mkanda nchini. Wikiendi hii tena tumeshudia Watanzania wakiendelea kuipa nchi heshima katika sekta ya sanaa, baada ya kushuhudia muigizaji Lulu akishinda tuzo ya kimaifa ya “Best Movie East”... Read More →