MBOWE AMTAKA MEYA WA JIJI LA ARUSHA KUONYESHA UTOFAUTI NA WAKATI CCM IKITAWALA
Meya wa jiji la Arusha ametakiwa kuonyesha utofauti na wakati wa halmashauri hiyo ilipokuwa chini ya CCM. Hayo yamesemwa na Mwenyenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe alipokutana na Meya wa jiji la Arusha, Mhe. Kalist Lazaro, na weheshimiwa wabunge… Read More →