@The_Dati Kutua Universal Music London Mwezi Machi
Mkali wa ngoma ya “Can Do” Mtanzania anayeishi nchini Sweden anatarajia kwenda nchini Uingereza kukutana na wadau wa muziki kutoka kampuni ya Universal Music. Akiongea na muandishi wa salmamsangi.com, msanii huyo amesema kwamba kampuni ya Universal Music, wameonyesha kuvutiwa kufanya kazi naye, Msanii wao wa mwisho ambaye walifanya nae kazi… Read More →