Julai 15 mwaka huu, “21 questions” rapper Curtis Jackson a.k.a 50 cent akiwa kwenye kituo cha TV cha TBS na Conan kwa ajili ya kupromoti filamu yake mpya ya “Southpaw” pia aliongelea ishu ya kesi aliyofungua kwa ajili kuomba sheria imlinde asifilisike.
Akiongea na host wa show hiyo Conan O’Brien alisema “Kweli nataka kulindwa na sheria, unayo macho ya ng’ombe yamechorwa nyuma yako unapokuwa umefanikiwa kila mtu anajua, unakuwa mtu sahihi kupewa kesi” “Yeah, I need protection. You get a bull’s-eye painted on your back when you’re successful, and it’s public. You become the ideal person for lawsuits.”
Soma maswali aliyoulizwa mahakani wakati wa kesi:
Lawyer: Let’s talk about things you’ve said since this bankruptcy. You went on Conan O’Brien, did you not?
Jackson: Yes.
Lawyer: You said that you made a joke out of the fact that you need protection regarding bankruptcy?
Jackson: Yeah. You got to smile when you are in public situations. If you’re crying, they will just have more fun with you.
Lawyer: Did you also say that you considered yourself a target?
Jackson: I do.
Lawyer: Were you talking about this case?
Jackson: Well, just in general because overall if you know attorneys make a living off this.
50 cent alifungua kesi ya kutaka sheria ilimlinde asifilisike siku chache baada ya kutakiwa alipe dola milioni 5 kwa mke wa zamani wa Rick Ross, anayeitwa Lastonia Leviston, ambaye alimshtaki 50 cent kwa kwa ku-post mtandaoni mkanda wa ngono unaomuonyesha Lastonia na kuangaliwa na mamilioni ya watu akiwa na lengo la kumuudhi Rick Ross.
Akitoa ushahidi Julai 21 huko kwenye mahakama kuu ya Manhattan, mwanasheria wa Leviston alitumia alichosema 50 cent kwenye TV Show
Akitumia alichosema 50 cent kama kitu cha kumshinda 50 cent, alisema 50 cent alifungua kesi hiyo akiomba sheria imlinde asifilisiwe, alifanya hivyo kwa sababu tu ilikuwa ni kujilinda kutokana kesi yake.
50 cent alimwambia Leviston mahakamani “Samahani kama unahisi nimekuumiza kwa njia yeyote” kwa ku-post mkanda huo wa ngono ambapo alisema mkanda huo alipewa na mchumba wa Leviston.
Lawyer: Mr. Jackson, you went on the Conan O’Brien show after the verdict came in and after you filed for bankruptcy —
Jackson: Right.
Lawyer: — protection and you said I’m the target not her. I’m the target, right?
Jackson: Right. When you look —
Lawyer: Did you say that?
Jackson: Yes.
Lawyer: Did you say that filing bankruptcy is about asset protection?
Jackson: Yes, I believe I said that.
Lawyer: Did you also say — it may not have just been on that show — that reorganization or this filing does stop things moving forward that you don’t want moving forward?
Jackson: Yes.
Lawyer: Were those your words?
Jackson: Yes.
Lawyer: That’s what you filed this bankruptcy petition for reorganization, wasn’t it, to stop something from moving forward that you didn’t want moving forward?
Jackson: Yes.
Lawyer: And you also said, did you not, that “I’m not going to give people what I work for. They are going to have to work for it too.” People that you owe money to?
Jackson: No, I was saying I’m not going to give money to people. They have to work hard like I worked hard to get what I have.
Lawyer: Did you say, “I’m not going to give people what I work for, they are going to have to work for it too,” in the context of talking about this bankruptcy?
Jackson: No, just in general they are going to have to work for it like I worked hard for it.
Lawyer: When did you say that, was this last week?
Jackson: Yes. That was on the talk show. You’re talking to a comedian. You’re taking a lot of things out of context. It’s like taking a joke wrong to the media.
Mwanasheria wa Leviston akarudi kwenye kosa lenyewe:
Siku tatu baadae , 50 cent alitakiwa alipe dola milioni 2 kwa ajili ya madhara yaliyotokea juu ya dola milioni 5 alizotakiwa alipe mwanzo.