
Baada ya Tukio la la kula ndizi aliyorushiwa uwanjani na shabiki wa timu pinzani ya villarial kama ishara ya ubaguzi wa rangi Mchezaji wa Barcelona Dani Elvice Ameungwa mkono na wachezaji wengine mbali mbali wazungu kwa wafrika katika swala la ulaji ndizi kama ishara ya kupinga vitendo hivyo katika soka
Shabiki huyo alimrushia Ndizi Dani Alvice wakati wa mchezo kati ya Barcelona na Vellarial Ambapo matokeo yalikua Barecelona Waliwapiga villa 3-2
Baada Ya Mchezo Huo Dani Alves Alisikika Akisema
“Hajui aliyeirusha ndizi hiyo ila anamshukuru yeyote aliyeirusha kwani madini aliyoyapata ndani ya ndizi hiyo ndo yaliyofanya aweze kwenda mpaka golini”
Hawa Ni baadhi Ya Wanasoka Walioungana na Dani katika mitandao ya kijamii kwa kula ndizi kama ishara ya kupinga vitendo hivyo
Con mi compañero @phil_coutinho #somostodosiguales #somostodosmacacos
Mchezaji Adebayor naye alipost picha katika mtandao wake wa Insta Gram na kuandika “#sea help us kick racism out of sport#TeamAfrica#TeamBrazil#Say no to racism”
