BOLT,Sierra Leone
ANNABEL,Kenya
POKELLO,Zimbabwe
NATASHA,Malawi
DILLISH,Namibia
HAKEEM,Zimbabwe
MARIA,Namibia
Kama ilivyoada siku baada ya mtoano ifuatayo inakuwa ni siku ya nomination.Na leo kaka mkubwa amewataja Bolt Sierra Leone,Natasha kutoka Malawi,na Sulu kutoka Zambia wote hao kutoka katika mjumba ya Ruby,ambapo hapo kaka mkubwa alimtaka kiongozi wa nyumba ya Ruby Feza kutoka Tanzania kumuokoa mtu na kumuweka mwingine katika kikaango ambapo alichukuwa jukumu hilo kubwa na kumuokoa Sulu kutoka Zambia na kumuweka Pokello kutoka Zimbabwe.
Wakati katika jumba la Daimond kaka mkubwa aliwataja Annabel kutoka Kenya,Dillish kutoka Nambia,Hakeem kutoka Zimbabwe,Nando kutoka Tanzania ambaye ni kiongozi wa nyumba kwa wiki hii hivyo Nando kutoka Tanzania alijitoa yeye katioka kikaango na kumuweka Maria kutoka Namibia.
kwa wiki hii watanzania wamekuwa salama,hivyo basi watanzania mnaombwa kuendelea kumpigia kura mu Africa Mashariki mwenzetu Annabel kutoka Kenya.