Nando akiwa na msichana aliomuambukiza Ugonjwa wa zinaa Selly kutoka Ghana ambaye tayari ameshatolewa ndani ya jumba hilo baada ya kuwekwa kikaangoni na Oneil wa Botswana aka SHEMEJI  aliyekuwa Head of the house wa nyumba ya Diamond Juma pili ilopita
Akiongea  kwa  uchungu  na  huzuni  mbele  ya  Bimp Mshiriki kutoka Ethiopia, Nando ambaye  ni Mshiriki wa Tanzania  amemlaani  mshiriki wa  Ghana  kwa  kumwambukiza  GONJWA LA  ZINAA…Nando  amelinyaka  gonjwa  la  zinaa  maarufu  kwa  jina  la  “Chlamydia”  na  hivi  sasa  yuko  katika  dozi.Gonjwa  hilo  amelinasa  baada  ya  kungonoka  na  SELLY   bila  KONDOMU…..
Eti kwasababu alishikiwa akili katika swala la matumizi ya CondomAkiongea  na  Bimp ambaye  ni  mshiriki  toka  Ethiopia, Nando  amekaririwa  akidai  kuwa Selly  aligoma  kutumia  kondomu.Kwa  kuwa  alikuwa  na  HAMU  na  tayari  stimu  zilikuwa  juu , Nando  anadai  kuwa  hakuwa  na  jinsi  zaidi  ya  kulikamua   TUNDA    bila  kulimenya….
Anakaririwa Nando:
“You know I hate that bi*ch !
I’m f*cking frustrated cos that bi*ch *Selly* gave me STD! That’s why my blood pressure was high yesterday!”
Pole Nando, kama kauli yako ni ya kweli, nenda kapime na ngoma.
