Kuna habari kwamba mtaa wa indiragandi Kisutu Dar es Salaam kuna jengo lenye Ghorofa 15 limedondoka na kuua…. Salmamsangi.com inafuatikia kwa karibu na itakuletea tukio likivotokea Channel ten ni kituo kinachorusha live sasa hivi tukio hilo.