Baada ya repa Camron kuingia instagram mwezi Oktoba na kutangaza kuwa ana masks ambazo zinauwezo wa kuzuia kuambukizwa Ebola, TMZ alimtafuta na kumuuliza mshikaji kuhusiana na suala hilo na mauzo yake.
“Ni noma hizi masks, tayari nimeshauza masks 5,000” alionekana akisema hayo kwenye video ilirekodiwa.
“Sikiliza, sijui, mimi sio mtaalam wa Ebola lakini noma, hii mask unafunika sehemu ya puani nadhani unaelewa nachosema” alisema Camron.
Masks hizo za Ebola za Camron zinatangazwa na kuuzwa dola 19.99 na zimepangwa kuzambazwa zaidi Novemba 7 taarifa za online Dipset store zimeeleza.
Mwezi uliopita Camron alipost picha kwenye instagram akitangaza mauzo huku akielekeza mashabiki kwenye tovuti ya Dipset kununua masks hizo kama dawa.
Virusi vya ugonjwa wa Ebola umeua watu karibu 5,000 huko Afrika magharibi taarifa za hivi karibuni za Reuters zimeripoti, Sehemu maalum ambayo inacontrol ugonjwa huo inasema kwamba watu wanne wamesharipotiwa kuwa na Ebola huko Marekani toka Oktoba 31.
Camron aliandika hivi akipigia promo masks zake,
“Ebola is no joking matter.. So if u have to be safe.. Be fashionable. #CamEbolaMask get’m at @dipsetusa1997 nx week, made by @chinagram www.dipsetUsa.com
Cam’ron Asema Ameuza Masks Za Ebola Kwa Maelfu
Next Story
Picha: Castle Lite Just Got Paid Ilivyofana
Related Posts
-
-
Mchekeshaji Muingereza Babu Wa Miaka 57 Stephen Fry, Amuoa Mvulana Wa Miaka 27
-
THE ‘GETAWAY’ PARTY
-
Ratiba ya Mazishi ya Msanii Langa kileo Aliyefariki Jana
-
T.I Na Tiny Wamjibu Flloyd Mayweather
-
Nancy Sumari Azindua Kitabu cha Watoto “NYOTA YAKO”
-
Big Brother The Chase: Watanzania Mashakani…. Kura zetu tu ndio zitamuokoa Nando