music Xpress
Video: MusicXpress, InterView with Menina
Video: Interview ya Ommy Dimpoz na Music Express Kabla hajaelekea Marekani
Kama hukutazama Interview Ya Ommy Dimpoz na Music Express kupitia Channel Ten ijumaa huu ndio wakateti wake itazame hapa. Pamoja na kwamba alizungumzia Kuhusu Birthday Part yake iliyofanyika pale Element ijumaa hiyo hiyo pia alizungumzia show yake alioifanya Jumapili pale Club Bill iliobandikwa jina la Tupogo Night, Ommy Dimpoz pia… Read More →
VideoTeaser: Music Express
MusicXpress: Joh Makini Interview
“Why mimi” kuwaondoa Barnaba Na Amini THT???? Mengi wameongea kwenye MusicXpress.
Leo Branaba na Amini walikuja katika katika mahojia na kipindi cha Music Xpress Friday Special kinachoruka kila Ijumaa saa mbili mpaka saa mbili na nusu channel Ten kwa ajili ya kutambulisha wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la “Why Mimi” Barnaba Na Amini pia walijitambulisha kama kundi linalotambulika kwa jina… Read More →
New Video:P-Square – Personally
Video: Interview with Kala jeremaya
Lady Jay Dee Kupandishwa Kizimbani Tarehe 31,May???
Bado joto ya show ya mika 13 ya Lady JayDee inazidi kupanda kutokana na mengi yanayohofiwa kutokea siku hiyo. Kwanza kulikuwa na tetesi kuwa huenda Clouds Fm wakafanya show nyingine siku hiyo, kitu ambacho Ruge Mutahaba alikifafanua vizuri kwa kusema mtu ukiwa na shughuli haimaanishi kuwa wengine wasifanye shughuli… Read More →