Picha: kumbukumbu ya Kanumba/Lulu nae apata fursa ya Kumuenzi

Lulu akiwa na mama yake Lulu na mama yake marehemu Steven Kanumba Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu,… Read More →