Makala: Msanii kuachia wimbo exclusively kwenye radio moja kwanza kunavikera/udhi vituo vingine

Chukua mfano, una rafiki yako ambaye ana rafiki mwingine pia. Ananunua icecream ambayo anampelekea kwanza rafiki yake mwingine anayeila kisha kuibakiza, halafu rafiki yako anakuletea uimalizie wewe. Maana yake ni kwamba anakuletea makombo, utafurahi? Sio rahisi ukafurahi. Kwa mfano huo hebu twende kwenye mada inayohusika. Hivi karibuni kumepamba moto mtindo… Read More →