IRENE UWOYA KUTOA NAFASI ZA AJIRA KWA VIJANA 30

Mugizaji wa filamu nchini Irene Uwoya aka Mama Krish, amewakata wakazi wa Morogoro na Dodoma wenye vipaji vya kuigiza kujiandaa kwanini hivi karibuni anaandaa mchakato wakutafuta waigizaji zaidi ya thelathini (30) kwa ajili ya kuigiza naye movie yake mpya itakayotoka mwishoni mwa mwezi wa sita au mwanzoni wa mwezi wa… Read More →