Mwanzilishi Wa Face book Atarajia Mtoto Wa Kike

Mwanzilishi wa mtandao wa facebook Mark Zickerberg na mkewe Priscilla Chan wanatarajia mtoto wa kike. Wawili hao walitangaza katika ujumbe wao katika ukurasa wa facebook wa bwana Zuckerberg, ”Priscilla na mimi tuna habari njema:”Tunatarajiwa mtoto wa kike”, aliwaandikia takriban watu milioni 33 wanaomfuata katika mtandao huo. Katika ujumbe wake Zuckerberg… Read More →