Lady Jay Dee Atangaza Kuufunga Mgahawa Wake, MOG Bar & Restaurant Zamani Nyumbani Lounge

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Mwanamuziki Lady Jay Dee na mmiliki wa mgahawa wa MOG bar & restaurant zamani Nyumbani Lounge ametangaza kuufunga mgahawa wake huko uliodumu kwa miaka minne, katika maelezo yake aliyoyaandika Lady Jay Dee amesema sababu kubwa ni kukua zaidi na kutaka kuendelea kufanya mambo mengine makubwa… Read More →