Mwanamuziki Stevie Wonder Anatarajia Mapacha Watatu Na mchumba Wake, Jumla Atakuwa Na Watoto Kumi
Kwa mujibu wa taarifa mpya mwanamuziki Stevie Wonder,ambaye ni mlemavu wa macho mwenye umri wa miaka 64 sasa anatarajia watoto mapacha watatu na mchumba wake Tomeeka Robyn Braxy .. Stevie Ameshawahi kuoa mara mbili na tayari ana watoto saba katika mahusiano yake aliyowahi kupitia Hivyo itafanya idadi ya watoto wa Stevie… Read More →
