Entertainment
Rick Ross Atangaza Albamu Mpya Na Kuachia Ngoma Mpya
Baada ya mkali Meek Mill kuendelea kuwa jela mpaka mwezi Oktoba kama ilivyotangazwa, na albamu yake ya Dreams Worth More Than Money kuharishwa kutoka Septemba 9 kama ilivyokuwa imepangwa, Boss wake mtu mzima Rozay ameona maisha lazima yaendelee wakati wakimsubiri Meek Mill kutoka jela. Rapper Rick Ross ametangaza ujio wa… Read More →
Kendrick Lamar Afunguka Kuhusu Albamu Yake Inayokuja Itafanywa Na Dr. Dre Hatashirikisha Msanii
Kendrick Lamar ambae ameripotiwa kufanya kazi kwa ajili ya albamu yake inayokuja baada ya albamu ya good kid, m.A.A.d city, juzi kati alifunguka akasema kuna ngoma ambazo hazikuachiwa kutoka kwenye albamu hiyo wakati wa kurekodi. “”Kulikuwa na ngoma kibao zilizoachwa, ingeweza kuwa albamu ya ngoma 30, kuna ngoma chache ambazo… Read More →
Huyu Ni Huddah Apost Picha Za Utupu, Apiga Promo Nguo Zake
Men!! Hivi ndivyo aliyewahi kuwa mshiriki wa Big Brother Africa kutoka Kenya socialite Huddah Monroe alivyozindua nguo zake. Huddah anameta akiwa amevaa top ya njano, ameonekana amevaa uchi kabisa hakuna nguo ya chini, hakuna kitu. Picha hizo Huddah alipost picha hizo kupitia instagram.
Alikiba Avunja Rekodi Ya Downloads Katika Mkito.com
Nyimbo mbili za Alikiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com. Wimbo uliotokea kupendwa zaidi wa Mwana ulipanda hadi nafasi ya kwanza ndani ya masaa 12 baada ya kuzinduliwa Julai 24 mwaka huu. Mpaka sasa “Mwana” ya Alikiba imeendelea kuwa wimbo uliopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa… Read More →
Promota Wa Chris Martin David Kibuuka Atupwa Jela
David Kibuuka wa kampuni ya One Nation Entertainment ya Uganda, alikuwa akihusika kuandaa tamasha la Chris Martin, lakini tamasha hilo likawa ni matatizo na ilipewa nyota 5 katika show zilizofeli nchini Uganda. Kama hilo halitoshi, Polisi wa uwanja wa kimataifa wa ndege wa Entebe walikuwa wakimtafuta promota huyo David Kibuuka… Read More →
Bingwa Wa Zamani Wa Formula 1 Michael Schumacher Atoka Hospitali
Bingwa wa zamani wa Formula One Michael Schumacher ameruhusiwa kutoka hospitali Katika taarifa aliyoitoa, Meneja wa bingwa huyo wa zamani wa michezo ya Langa langa, Sabine Kehm amesema mteja wake huyo ataendelea kupata matibabu nyumbani. Amesema anaendelea vizuri lakini bado kunahitajika muda zaidi kuweza kupona kabisa. Schumacher alipoteza fahamu baada… Read More →
Bobi Wine Amfukuza Kazi Meneja Wake Wa Biashara
Msanii rais wa ghetto Mheshimiwa Bob Wine hatimaye ameamua kumuacha aende meneja wake wa siku nyingi wa mambo ya biashara Bwana Labeja Laurence katika Fire base entertainment. Kwa hiyo kwa sasa mambo yote ya kibiashara kuhusu Bob wine, bookings na maulizo yeyote yatakuwa yakielekezwa moja kwa moja katika makao makuu… Read More →
Miley Cyrus Awaacha Watu Hoi Kwenye After Party Ya New York Fashion Week
Miley Cyrus amekuwa ni mwanadada mwenye vituko, unaweza ukamuweka katika kundi la kina Rihanna, Lady Gaga na wengine wenye vituko kama yeye, kwa kweli Cyrus amezidi kuwa na vituko, alishawahi kuwasha bangi akiwa stejini, pia hupenda kuvaa karibia na uchi akiwa sehemu mbalimbali. Katika New York Fashion week mwanada huyo… Read More →
Kesi Iliyokuwa Ikimkabili Justin Bieber Ya Kumshambulia Dereva Wa Limo Yafutwa
Muimbaji na mwandishi wa nyimbo mkali kutokea Toronto Canada ambae siku za karibuni amekuwa akiandamwa na kesi kibao, ikiwemo ya kumsambulia dereva wa limo huko Toronto Canda mwaka jana mwezi Desemba imefutwa jana kutokana na kukosekana ushahidi uliostahili. Katika video iliochukuliwa na kamera, simu iliyopigwa ya 911 na polisi kuwahoji… Read More →
