Ngoma Ya Iggy Azalea “Fancy” Yatajwa Katika List Ya Billboard Ya Kipindi Cha Kiangazi
Iggy Azalea ni mwanamke wa kwanza kuwa na ngoma 2 kwenye top 3 ya Billboard list ya kipindi cha kiangazi. Ngoma aliyomshirikisha Charli XCX imekamata namba 1 kwa wiki 7 kipindi hiki cha kiangazi ikiwa kwenye chart, ni ngoma maarufu sana ambazo ziliimbwa kwenye Memorial Day na Siku ya kazi… Read More →
