Jermaine Jackson Atua Lagos Kufanya Kazi Na P.square

P.Sqaure ambao wanatengeneza albamu yao ya 6 imeonekana katika albamu hiyo wanashirikiana na mastaa wa kimataifa, Kaka yake Michael Jackson Jermaine Jackson yuko Nigeria na amekuwa na P.square na kuna ngoma anafanyia kazi “Inaonekana kama amefika leo” alisema Peter Okeye. “Alishasema hatimaye yuko hapa……albamu ya 6….Squareville kazi inaendlea…isubirini @jermjackson5… Read More →