Dj Khaled Azindua Headphones Za “We The Best”

Dj Khaled kwa kushirikiana na Heads Audio na Olufsen kutengeneza headphones zinazoitwa “we the best”, Kama ilivyo kwa Dr. Dre kabla hajauza headphons zake zilizokuwa chini ya Dr Dre Beats Electronics Company na baadae kuziuza kwa kwa kampuni ya Apple dola bilioni 3 mwezi uliopita na kumfanya kuwa msanii… Read More →