Mume Wa Mwanamitindo Katie Ajipiga Risasi Baada Ya Tetesi Kuwa Mkewe Anatoka na Mcheza Movie Leonardo DiCaprio
Taarifa kupitia TMZ zinasema Bwana wa mwamitindo anahusika na Deal Or No Deal amejiua kwa kujipiga risasi wiki chache baada ya kuona picha mke wake akila uroda na muigizaji Leornado DiCaprio na Adrian Grenier. Picha Za Utata Za Katie akiwa na Leornado DiCaprio Vyombo vya kisheria vimeiambia TMZ Andrew Stern… Read More →
