Mtangazaji Wa ‘DalaDalaBeats’ Ya Magic FM Tee Jay Amerudi Baada Ya Kuwa Nnje Ya Game Kwa Mwaka Mzima

Hii inaitwa Welcome back TJ, Kwa pamoja mimi na nyie tunasema “Welcome back TJ”, baada ya mwaka mmoja kula pose lazima ulimmiss sana sauti ya mtoto mzuri TJ kwenye show kali kupitia Magic FM saa 7 mchana hadi saa 10 jioni on Dala DalaBeats . Kuanzia Jumatatu 23 Juni 2014… Read More →