Justine Bieber Aomba Radhi Baada Ya Kutoa Lugha Ya Ubaguzi Wa Rangi

Mwanamuziki mwenye umri wa miaka 21 kutoka Canada mwenye matukio kibao, kipenzi cha wakinadada Justin Bieber ameomba msamaha na kujutia baada ya kutumia lugha iliyoonyesha ubaguzi wa Rangi, Mwanamuziki huyo sio mgeni katika kuomba msamaha, alishaomba msamaha kwa kupiga teke bendera ya Agentina na alisema ilikuwa ni bahati mbaya. Pia… Read More →