Entertainment
Pamoja Na Mipango Ya Kuongeza mtoto Wa Tatu Dada Wa Kim Kardashia, Kourtny Kardasian Amesema Hana Mpango Wa Ndoa Kwasababu Haamini Swala La Ndoa

Kwamujibu wa mtandao wa Us Weekly, Reality Star Kourtney Kardashian na mpenzi wake wa siku nyingi Scott Disick wanatarajia ujio wa mtoto mwingine ambaye atakuwa ni watatu kwenye uzao wao Hii itakuwa ni chini ya miaka miwili tangu wapate mtoto wao wa pili “Anaonekana kuwa na miezi michache ijayo kabla… Read More →
Lupita Nyong’o Na Familia Yake Wageni Pia Tamasha La 17 La Ziff Zanzibar

Mkurugenzi Mkuu wa ZIFF, Profesa Martin Mhando (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua rasmi Tamasha la Filamu la nchi za Majahazi la 17 maarufu kama Zanzibar International Film Festival (ZIFF). Kulia Msaidizi wa Kitengo cha habari ZIFF, Lara Prieston, Kushoto ni Meneja wa… Read More →
Mashabiki Wamshambulia Davido Wakimuita Muongo

Davido alishare picha yake na aliandakika miaka mitatu iliyopita hawakuwa na magari… katika picha hiyo wanaonekana wamezungukwa na magari kama manne hivi ya kifahari, mashabiki wengine walijikuta wakiona ni ngumu kuamini kuwa mtoto wa Omo Baba Olowo na miaka mitatu iliyopita haukuwa na gari wanaona kama anadanganya wakati inafahamika kwamba… Read More →
Beyonce Aweka Wazi Maisha Yake Halisi Nje Ya Muziki

sBeyonce ameshare picha akiwa na familia yake kwenye website ya beyonce.com picha hizo zinaonekana zilichukuliwa siku za karibuni wakiwa mapumzikoni Hamptons wakati Kim na Kanye walipokuwa wakifunga ndoa. What a beautiful family? Hawana utani na mapumziko na nywele mpya za Beyonce zinapendeza sana. Check picha nyingine chini…….
Jay Z Amwaga Rafiki Yake Wa Siku Nyingi Walio Hustle Nae.

Rafiki wa siku nyingi katika biashara Bey’s na husband C.E.O Jay Z anaitwa John Menelly wamemwagana, Menelly ndo alisaidia kuikuza Roc Nation ambayo ilianza kama record label hadi kuwa wakala wa kuinua vipaji, Menelly pia alisaidia katika kuiinua Rocawear clothing line kabla haijauzwa. Kwa zaidi ya miaka 10 Menelly amekuwa… Read More →
Picha: Mtangazaji Dennis Ssebo Ziarani Spain

Mtangazaji Wa Radio Magic Fm Dennis Ssebo WeekEnd Iliyopita amefanya Ziara Nchini Uhispania ambapo alipata nafasi ya kutembelea uwanja wa mpira wa Real Madrid pamoja na kupiga picha na baadhi ya wachezaji wakubwa wa soka Duniani, Pamoja na jambo muhimu lililompeleka huko pia alipata kuona baadha ya kumbu kumbu za… Read More →
Hiki Ndicho Kilichokuwa Kinasubiriwa Zaidi kutoka Kwa Kim Kardashian Na Kanye West

Katika Vitu vilikuwa vinasubiriwa Zaidi Msimu Huu kutoka kwa washabiki wa couple ya Kanye Na Kim Basi Ni Picha za Harusi yao iliyofanyika Jumamosi 24th May Kim Alivalia Gaunin Zuri Toka kwa mbunifu Givenchy Sasa Kanye na Kim Ni Official Mr & Mrs West Tazama Picha Zaidi Ikiwa ni ndoa… Read More →
Ndoa Ya Jay Z Na Beyonce Chali?! Nothing Last Forever

Beyonce na Jay-Z wanadaiwa kuelekea kupeana talaka itakayogharimu dola bilioni 1. Kwa mujibu wa jarida la Marekani la wanandoa hao wanakabiliwa na talaka yenye gharama kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa mastaa. Inadaiwa kuwa Jay amekuwa akitembea na wanawake wengine. Jarida hilo limesema wapenzi hao wenye nguvu wamekuwa wakigombana mara kwa… Read More →
Hii Ndio Gharama Ya Gauni La Kim K Alilovaa Kwenye Bachelorette Party Yake, Sijui La Harusi Itakuaje

Kama ilivyo kwa harusi za huku kwetu kutanguliwa na sherehe mbali mbali kama vile Kitchen Party, Send Off Part, Bridel Shower an so kabla ya ile siku kubwa maalum ya kufunga ndoa hivyo ndivyo pia ilivyokuwa kwa Mwanamke mwenye ushawishi zaidi duniani Kim kardashian anayetarajiwa kufunga ndoa na rapper Kanye… Read More →