Story Ni Lupita Kupiga makelele Baaada Ya Kukutana Na Beyonce Au Story Ni Beyonce Kupost Picha Instagram Akiwa Na Lupita Nyong’o?

Ameshakutana na mastaa wakubwa sana mpaka sasa akiwemo Malkia wa watangazaji Duniani Oprah Winfrey tangu awe mshindi wa tuzo kubwa yenye heshma duniani Oscar, Lakini Kukutana Na mwanamuziki Beyonce Muigizaji wa holiwood mkenya lupita nyong’o ndio kama ndoto yake imetimia zaidi Anasema alikua haishi kupiga kelele kimoyo moyo na bado… Read More →