Video: Selfie Nayo Imevunja Rekodi Tuzo Za Oscar
Ni picha ya kujipiga mwenyewe maarufu kama SELFIE ya Star wa TV Ellen Degeneres aliyoipiga wakati wa Tuzo za Oscar Jana inasemwa kuvunja rekodi katika mtandao wa tweeter tangu kuanzishwa kwakwe ikiwa ime retwetiwa mara nyingi zaidi na kuizidi ile ya Raisi Wa Marekani barak Obama Aliyojipiga akiwa na mkewe… Read More →