Komando Jide Awa Mwana karate, Tazama Picha Akiwa Zoezini

Kwa sasa Tanzania itapata nafasi nyingine ya kushuhudia tuzo zitakazotolewa kwa ajili ya watu ambazo hizi zinaitwa Tanzania People’s Choice Awards,hii inahusisha wale wote unaowapenda kwenye tasnia ya Utangazaji wa Tv na Redio,Wasanii wa Filamu,Wanamichezo na Muziki. Tuzo hizi zitakuwa zikisimamiwa na Bongo5.com ambap0o wanasema mwaka 2009 liliwajia wazo jipya,wazo… Read More →
Wakati wasanii wengine wakitoa albamu za mix tape na kuziuza sokoni , Ben Paul Alipotembelea Studio Za Magic Fm Kwa Ajili Ya Kupromote Albam Yake wiki iliyopitamwanamziki Ben Paul ameachia wimbo wake mpya alioupa jina la “unanichora” huku akifanya uamuzi mgumu wa kuiuza albamu yake mtandaoni ambapo albamu yake… Read More →
Pamoja na kutoibuka na tuzo ya BAFTA (British Academy Of Film And Television Art) za nchini uingereza baada ya kutajwa katika vipengele vyote alivyotajwa lakini ni movie aliyocheza ya 12 years years A slave ilishinda Best Film kwenye Tunzo Hizo Kuzaa kuzuri jamani, ndio maana unaambiwa usikate tamaa mpaka… Read More →
Msanii Diamond Platinum aliye nchini Afrika Ya Kusini kwa ajili ya mambo yake ya kimuziki akiwa ameongozana na msanii AY wameenda kufanya kitu ambacho nadhani wengi watakifurahia Diamond aliyeondoka leo kuelekea huko bondeni mara baaada ya kushare picha yake akiwa na AY ndani ya ndege baada ya muda mfupi tu… Read More →
George Kavishe Meneja Wa Bia Ya KilimanjaroKatibu Mkuu Mtendaji baraza La sanaa la Taifa BASATA Geofrey Ngereza Akielezea Historia Ya KTMA mbele ya waandishi wa Habari Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tuzo za kilimanjaro Tanzania Music Awards Zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano Hotel Ya Kebbys iliyopo Bamaga Jijini DaR es… Read More →
USIKOSE KUSKILIZA SHOW KALI YA KWETU FLAVA LEO FEB, 12 , MIDA YA SAA TATU USIKU MAGIC FM. DJ TASS ATAFANYA MILAZO YA HATARI KATIKA MOJA NA MBILI HUKU THE LEGENDARY LADY JAY DEE AKIWA PEMBENI ANAJIBU MASWALI YA HAPA NA PALE. SI YA KUKOSA KUMBUKA SAA TATU KAMILI USIKU… Read More →
Mama wa star wa filamu na kipenzi cha wengi duniani muigizaji Sylvester Stallone aka Rambo ameonekaha hivi karibuni akiwa na muonekano tofauti na kwamba kafanya kila jambo kukimbia uzee. Mama Mzazi wa Mcheza Movie Za Action Rambo katika muonekano wake wa ujana baada ya upasuaji Hakika Uzee Noma Na Kila Mwanadamu… Read More →