Entertainment
Michelle Obama Aingilia Kati Nidhamu Ya Justine Bieber Aliyependekezwa Na Wamarekani Arudishwe Kwao

Justine Bieber Akiwa Chini Ya Ulinzi Baada Ya Kukamatwa akiwa Anaendesha Gari Huku Amelewa Huko Miami Marekani Mke wa rais Wa Marekani Mama Michelle Obama Ameingilia kati swala la nidhamu mbaya ya Mwanamuziki KutokaNchini Canada Justine Bieber iliyoanza kuonekana kwa matukio mfululizo hivi karibuni Mama Obama alisema katika mahojiano na… Read More →
Video: Lady Jaydee – Historia (Official Music Video)
Video:Music Express Interview With Shilole
Kweli Pesa Wazimu, Hebu Ona Jinsi Nick Minaj Alivyomtam akiwa Natural Bila Mawigi Yake Ya Ajabu

Kweli Pesa wazimu, pesa zikikujaa watamani ufanye kija lambo hata lile lisilo bora kwako, hebu mtazame mwanadada huyu mahiri katika miondoko ya kufoka foka kule marekani jinsi Nick Minaj jinsi anavyopendeza akuwa katika hali ya uhalisia katika kichwa chake, Ameonyesha nywele zake halisi bila mawigi yake ya rangi rangi aliyozoea… Read More →
Maskini Wema Sepetu, Aungama Na Kuonyesha Kila Dalili Kumrejea Muumba Wake, Angalia Alicho Post.

Na hiki ndichi alichopost Wema Leo siku ya ijumaa Mwanamke anayekubalika zaidi katika sanaa ya Filamu Nchini Tanzania au naweza sema katika mastaa wa kike nchini almaarufu MADDAM AKA Wema Sepetu ameonyesha nia ya kuungama baada ya kupost picha kupitia mtandao wake Wa Instagram inayoashiria jambo la dini katika maandiko… Read More →
Picha: Lady Jay Dee Nyumbani Lounge Re Launch

jIJUMAA YA TAREHE 31 JAN MSANII LAD JAY DEE ALIZINDUA TENA KWA MARA NYINGINE KIOTA CHAKE CHA BURUDANI NYUMBANI LOUNGE RE LAUNCH KAMA ILIVYOJULIKANA KWAKWELI NAWEZA SEMA LADY JAY DEE KAJIPANGA UPYA KUTOKANA NA URUDANI ALIYOTOA PAMOJA NA TEAM YAKE MPYA YA MACHOZI BAND, WIMBAJI WAZURI MUZIKI MZURI WADAU WAZURI… Read More →
Justine Bieber Matatani Tena, Ni Baada Ya Ndege Yake Kuhisiwa Kuwa Na Bangi Ndani

Ndege Ya Mwanamuziki Justine Bieber Kwenye Ukaguzi wa police Mwanamziki Justine Bieber aingia matatani tena baada ya polisi kusachi ndege yake binafsi baada ya polisi hao kuwa na wasiwasi huenda atakuwa abeba bangi Ndege hiyo ilianza kusachiwa tu baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa New Jersey. Polisi waliendesha… Read More →
Video: Justin Bieber – Confident ft. Chance The Rapper
HII NDIO RELEASE MPYA YA BIEBER PAMOJA NA KUWA KWENYE MISUKO SUKO YA MASHTAKA POLISI HUKO KWAO TORONTO NA MIAMI , LABDA UTOAJI WA RELEASE MPYA UNAENDA SAMBABA NA MATUKIO HAYO ILI NGOMA KUHIT, HATA HIVYO BIEBER ANAWEZA KUFUNGWA KAMA ATAPATIKANA NA HATIA HUKO MIAMI HUKU AKIPATA WAKATI MGUMU MWINGINE… Read More →
Justine Bieber Kweli Kauanza mwaka Vibaya, shtaka Lingine Kwao Canada La Kumpiga Dereva Wa Limo, Mara Hii Kajisalimisha Mwenyewe.

Mwanamziki mashuhuri wa muziki wa ‘pop’ kutoka Canada Justin Bieber amefunguliwa mashtaka ya kumpiga dereva wa gari la kifahari la kukodisha mwezi Disemba mwaka uliopita. Bwana Bieber aliye na umri wa miaka 19 alikaribishwa katika katika kituo cha polisi cha Toronto baada ya kujisalimisha mwenyewe ..Amefunguliwa mashtaka chini ya juma… Read More →