Wanamitindo Wa Kibrazil Katika Kalenda Mpya Ya World Cup 2014
Msanii Wa Kundi la P’square Peter Okoye Jana amesherehekea skukuu ya kuzaliwa ya Binti Yake ALIONA katika nyumba yao mpya walioionyesha hivi karibuni huko Atlanta, Ni hivi karibuni tu Peter alifunga ndoa na Na Mchumba wake wa siku nyingi Familia ya Mapacha P’SQUARE katika sherehe ya Birthday Ya Motot… Read More →
Ni hivi karibuni Tu Msanii wa marekani Rihanna aliyetokea katika wimbo wa Shakira Can’t Remember To Forget You’ na anayetamba na ngoma zake nyingi tu ameonekana katika picha za utata alizozipost katika ukurasa wake wa Instagram , Bongo Movie Star madam Wema Sepetunga naye Amemrudi baada ya kupost naye… Read More →
Hivi ndivyo wasanii wa kizazi kipya walivyocharuka kila mmoja kwa wakati wake kuonyesha mali aliyonayo kutokana na muziki huo, kila mmoja sasa anataka kuambia jamii kuwa hafanyi muziki kama fani bali kama kazi pia kuu fanya muziki kuheshimika kama kazi nyingine Msanii Mdogo wa miondoko ya kufoka lakini pia anayekwenda… Read More →
Hatimae Ney wa Mitego Kapewa majibu yake na mshindi wa BSS mwaka 2013/2014 Emma Msuya Baada ya kuonyesha maajabu ya pesa alizoshinda kwa kufungua miradi kibao pamoja na Kujenga Nyumba Ya kuishi Mshindi huyo ambaye ni mkazi wa musoma amejenga nyumba aya kuishi, Anamiliki Studio Ya kurekodi muziki pia amenunua… Read More →
Haya Ndio Mafanikio Ya Muziki Wa kizaki kipya, Bongo Flava inalipa hasaaa, Haya nayo ni mafanikio mengine kutoka kwa msanii mwingine Huku wengine wakionyesha Magari ya kila Aina wanayomiliki kutokana na muziki huo wengine wakionyesha majumba na hata bishara zao sisi kwetu tote haya tunayaita mafanikio mazuri Huu nao ndio… Read More →
Diamond ameamua kurudisha kwa Jamii kwa namna ya peke yake baada ya kuamua kutoa msaada wa kuwasomesha watoto wawili wakiume walioshinda kucheza wimbo wa My number one katika kipengele cha ngololo siku ya Tamasha la xmass lililofanyika leaders Club jijini Dar Es Salaam Diamond Amesema ameamua kuwapeleka watoto hao katika… Read More →