Finally: Video Ya Diamond My Number One Remix Katika Kideo Cha Trace Channel Ya Ufaransa

Hatimae baada ya muda mrefu wa hasling za hapa na pale ili kusababisha Kideo kionekane katika channel za Mbele hatimae msanii Diamond Platzzz Amefanikiwa baaada ya kideo chake cha My Number One Remix Alichomshirikisha Msanii Davido Wa Nigeria Kimeonekana kupitia Kituo cha TRACE cha Ufaransa leo. Diamond Ameshare picha aliyoipiga… Read More →