Entertainment
Redd’s Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa aalikwa nchini Uganda kushiriki Maonyesho ya Mavazi.

Mrembo wa Taifa Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa (pichani) yuko Kampala Uganda kwa mwaliko rasmi kutoka kampuni ya Arapapa Fashion House & Design ya nchini Uganda. Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa atakuwepo nchini Uganda kwa muda wa siku 5 hadi tarehe 9 Novemba 2013 anatarajiwa kurejea nchini…. Read More →
New Video: Squeeze Me Tight – Baby Madaha
Shaa – Sugua Gaga (Official Video)
New Video: Roma ft.Story – 2030
Masanii wa Filamu Kutoka GollyWood/ NollyWood VanVicker Apata Ajali Mbaya

Msanii Wa Filamu Kutoka GollyWood/NollyWood VanVicker Amepata Ajali mbaya jana siku ya juma pili wakati anaelekea Kanisani Kupitia ukurasa wa FaceBook wa msanii mwenzie kutoka huko Inni Edo Ameshare story hiyo huku akiomba wapenzi na washabiki kuuombea Muigizaji huyo aliyepata ajali huku akisema kuwa Doctor Amesema Hali bado ni mbaya… Read More →
Kumbe Wema Sepetu Ni Mtoto Wa Kiongozi, Ifahamu Historia Ya Marehemu Baba Yake Na Ratiba Ya Mazishi

Pamoja na kujijengea Jina Yeye Mwenyewe Binafsi Alioyewahi Kutwaa Taji La mrembo Wa Tanzania Wema Abraham Sepetu na Mcheza Filamu Maarufu sana Tanzania Lakini pia Ni mtoto wa Kiongozi Ambaye Hakutegemea au Kuegemea Nafasi Ya Baba Ambaye alikuwa ni mtumishi Wa Serekali Ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Katika… Read More →
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete ahudhuria Msiba Wa Baba Yake Wema Sepetu

Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Ni Miongoni Mwa Waliohudhuria Msiba wa Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa mambo ya Nje mwaka 1970 na pia Balozi wa Tanzania Nchini Urusi mwaka 1982 Balozi Isaac Abraham Sepetu Ambaye ndio baba mzazi wa Msanii Maarufi Wa Filamu Tanzania Wema Sepetu aliyefariki Jana kwa… Read More →
Picha: Mastaa Waungana Na wema Sepetu Katika kipindi Hiki Kigumu Cha Msiba Wa Baba Yake

Mastaa na marafiki wa karibu na Muigizaji Wema Sepetu wamejitokeza kwa wingi katika hali ya Kumfariji kutokana na kufiwa na baba yake mzazi Balozi ISAAC ABRAHAM SEPETU aliyefariki jana kwa maradhi ya Kupooza aliyougua kwa Muda Mrefu. Msiba upo sinza Mori Nyumbani Kwa Familia Ya Marehemu na marehemu anatarajia kusafirishwa… Read More →
Pole Kwa Msiba Wa baba Mzazi, Maddam Wema Sepetu

Mrembo Wa Tanzania na Mcheza Filamu wa Tanzania Wema Sepetu Amefiwa na Baba Mzazi Ambaye ia Aliwahi kulitumikia Taifa kama Balozi, Balozi Sepetu alikuwa amelazwa kwa miezi kadhaa hospitalini jijini Dar es Salaam kwamaradhi ya kiharusi na kisukari na mipango ya mazishi inafanyikia nyumbani kwa marehemu maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar. Balozi… Read More →