Kwa Mara Ya Sita Dhamana Ya Bobby Shmurda Yakataliwa

Jana niliandika stori hii kumuhusu rapper mdogo kabisa kutoka Marekani akiwa amekaa jela mwaka sasa baada ya kukamatwa akituhumiwa na makosa ya mauaji na matumizi ya madawa ya kulevya. Ilisemekana jana Alhamisi 3 angeweza kutoka kwa dhamana,Kwa mara nyingine ikiwa ni mara ya 6, Bobby Shmurda amenyimwa dhamana tena, na… Read More →