Baada ya msiba wa Ngwea, Kili Music SASA Tamthilia yetu yandelea sasa ikiwa ni JIDE Vs Mwana FA

Lady Jaydee amemshambulia vibaya MwanaFA. Chanzo cha kuanza kumpa makavu Live ni pale MwanaFA alipo-Retweet post ya shabiki yake mmoja ambaye aliikejeli Show ya Jide kuwa ni Fundraising, ambapo MwanaFA aliongezea neno ‘Daaaamnnn’ kwenye Post hiyo. Mambo yalizidi kuwa mabaya baada ya MwanaFA ku-Retweet post ya shabiki wake mwingine aliyedai… Read More →