Ahadi ya Mengi yatimia, Waliomkuna na tweet zao wazawadiwa
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja mshindi wa kwanza wa shindano la, “Tweet Wazo Jipya Kuondoa Umaskini”, Jilly Gaudence Kyomo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Institute Of Management and Enterprenuership, Dkt. Donath Olomi. Kulia… Read More →