Redd’s Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa aalikwa nchini Uganda kushiriki Maonyesho ya Mavazi.
Mrembo wa Taifa Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa (pichani) yuko Kampala Uganda kwa mwaliko rasmi kutoka kampuni ya Arapapa Fashion House & Design ya nchini Uganda. Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa atakuwepo nchini Uganda kwa muda wa siku 5 hadi tarehe 9 Novemba 2013 anatarajiwa kurejea nchini…. Read More →