Mgomo Mwingine Mkubwa Kuwahi Kutokea Migodi Ya Madini Ya Platinum Nchini Afrika Kusini
Mgomo mkubwa zaidi wa wafanyakazi wa machimbo ya madini ya Platinum nchini Afrika Kusini kulalamikia mishahara duni… Chama cha wafanyakazi wa sekta ya madini nchini humo AMCU kimesema kuwa zaidi ya wafanyakazi elfu sabini wameingia katika mgomo huo kwanzia siku ya jana ya Alhamis hadi matakwa yao yatakapotimizwa. Huu ni… Read More →