kata K marufuku marekani. wale wazee wa kucopy na kupaste Itakuajeee???
![](http://salmamsangi.com/wp-content/uploads/2013/06/kanyela-300x180.jpg)
Katika hali ya kukerwa na tabia ya vijana kuvaa suruali chini ya makalio uongozi wa Wildwood, New Jersey nchini Marekani umeandaa sheria mpya itakayoweza kuwadhibiti wale wote wenye tabia hiyo ya kuvaa mlegezo na kukatiza mitaani. Sheria hiyo inaelekeza wavaaji wote wa suruali, kaptura, mavazi ya kuogelea na sketi zisivaliwe… Read More →