Boston Mambo si shwari Baada ya Kutokea Milipuko wakati wa Riadha

Na hivi ndivyo hali ilivyokua
OMBAOMBA mmoja nchini Marekani, ameshinda kitita cha dola 50,000 (takriban sh. milioni 82) katika bahati nasibu, amekataa kununua nyumba badala yake ataendelea kuishi mitaani. Jamaa huyo aliyefahamika kama Dennis Mahurin (58), amekuwa akiishi mitaani akiombaomba tangu mwaka 1978, na hajawahi kuwaza kufanya shughuli yoyoye ya kumuingizia kipato. Mahurin alinunua tiketi… Read More →
Makaziwe Mandela Kwa mujibu wa mtandao wa BBC, Wanawe rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela, wameamua kuchukua hatua za kuwaondoa wasaidizi wake watatu kutoka katika makampuni anayoyamiliki. Makaziwe na Zenani Mandela wanadai kuwa watatu hao hawana haki ya kuwa kwenye bodi mbili za kampuni hiyo ambazo ni za thamani… Read More →
ADHANA YARUHUSIWA SWEDEN KWA MARA YA KWANZA Msikiti mmoja katika kitongoji cha mji mkuu wa Sweden, Stockholm umeruhusiwa kuadhini kwa kutumia kipaza sauti kilicho kwenye mnara kwa ajili ya Sala ya Ijumaa. Hii ni mara kwa kwanza kwa nchi hiyo ya Scandinavia kuruhusu adhana kwa sauti inayosikika nje ya msikiti…. Read More →
Kim Kardashian ameamua kuweka mambo hadharani katika mtandaoni ili watu walishuhudie ukweli wa mambo….. Uamuzi huo mgumu umekuja baada ya mtandao maarufu wa TMZ kumvaa Kim kwa madai kuwa amekuwa akipotosha uma kwa kutoa picha feki za mimba hiyo na kudai kuwa ni zake. …
KATIKA hali isiyo ya kawaida kwa mila zetu waafrica,vijana wawiliTshepo Cameron Modisane na Thoba Calvin Sithole wamefunga Ndoa ya jinsia moja almaarufu kama “GAY MARRIAGE” huko mjini KwaDukuza ulioko KwaZulu-Natal, South Africa na kuwa tukio la kwanza barani Africa kuwahi kutokea. Habari zaidi zinadai wanandoa hao awali walikuwa na mahusiano ambayo kila mmoja katika mji huo… Read More →
Mwanaharakati maarufu wa haki za mashoga nchini Zambia Paul Kasonkomona amekamatwa na polisi baada ya kuonekana akifanya mahojiano katika kipindi cha ‘Live’ katika luninga moja nchini humo akihamasisha mahusiano ya jinsia moja yahalalishwe. Mkuu wa polisi Solomon Jere amekaririwa akisema Paul Kasonkomona ameshitakiwa kwa kuihamasisha jamii kushiriki katika katika matendo… Read More →
Wanasayansi nchini Japan jana wamesema wamepata njia ya kusoma ndoto za watu kwa kutumia scanner za MRI kugundua siri za fikira zisizojitambua. Watafiti wamefanikiwa kile wanachokisema ni “kifaa cha kwanza duniani kutafsiri ndoto za usiku, jambo ambalo limewasumbua wanasayansi kwa miaka mingi. Katika utafiti uliochapishwa kwenye jarida la Science, watafiti… Read More →