PICHA: JINSI RAISI MPYA WA CHINA XI JINPING ALIVYOPOKELEWA NCHINI JANA
Photo’s Credit Jiachie.blogsports.com
Rais wa Jamuhuri ya watu wa China Xi Jinping (pichani) ameanza ziara ya kihistoria nchini tangu kuapishwa kwake kuitumikia nchi hiyo ambapo katika ziara hiyo atasaini mikataba 17 ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya Serikali za Tanzania na nchi hiyo. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Waziri… Read More →
Msemaji wa jimbo la Anambra nchini Nigeria Mike Uda ameiambia BBC kuwa wanaomboleza kifo cha wanayemwita mtoto wa taifa la Nigeria na Afrika kwa ujumla.Chinua Achebe alizaliwa mwaka 1930, miaka 30 kabla ya Nigeria kupata uhuru. Taarifa iliyotolewa kwa niaba ya familia yake, imemwelezea Chinua Achebe kuwa mmoja wa waandishi wakubwa wa… Read More →
Mwanaume huko nchini india inaelezwa amechangia mke na ndugu zake wa nne mbao wadogo zake na tayari wana mtoto mmoja, ambapo hata hivyo mtoto huyo hajulikani baba yake halisi ni nani. Kwa mujibu wa gazeti la The Sun la huko Uingereza, linaeleza kuwa mwanaume huyo ambaye alifahamika kwa jina moja… Read More →
Mahakama ya juu kabisa nchini India leo imemhukumu mwigizaji filamu za Kihindi maarufu kama Bollywood, Sanjay Dutt, kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kupatikana hatia ya kukutwa na silaha ambazo zilikuwa sehemu ya shehena ya silaha zilizotumiwa katika shambulio la mjini Mumbai mwaka 1993. Mahakama hiyo ilishikilia hukumu ya Dutt… Read More →
Tangazo moja linalowaonesha akina mama wawili wakiwa gulioni limeondolewa kwenye vituo vya televisheni nchini Kenya baada ya kulalamikiwa na viongozi wa dini. Katika tangazo hilo (ambalo limepachikwa hapo chini) mwanamke mmoja anamwuliza mwenziye kuhusu mahusiano yake na mumewe na kujibiwa kuwa mume amekuwa mlevi siku za hivi karibuni na anashinda… Read More →
Hii mesej imekua ikisambaa sanakatika simm mbalimbaki lakini pia katika mitandao ya kijamii Kuna muwaji ameibuka jijini Dar kwa sasa, leo ameuwa mtu mmoja maeneo ya Kinondoni. Amempiga risasi ya kifua Mtu mmoja ndani ya gari alilokuwa anaendeshawa kwenye Barabara ya Kinondoni, katikati ya Mkwajuni na Magomeni. Tukio kama hilo… Read More →
Rais wa Marekani Barack Obama amefananishwa na shetani baada ya muigizaji Mohamen Mehdi Quazann kucheza sinema inayofanana na muonekano wa shetani huku akionekana kufafana na ObamaKwa mujibu wa repoti ya CNN filamu hiyo ambayo imeonekana kuteka mashabiki wengi teyari imeshaanza kurushwa vipande vichache vinavyoonyesha jinsi Obama alivyofanana na Mohamen… Read More →
Kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis wa Kwanza ametawazwa Rasmi kuliongoza kanisa hilo katika ibada iliyofanyika kwenye Uwanja wa Mtakatifu Petro Mjini Vatican. Maelfu ya watu kutoka nchi mbali mbali duniani wamekusanyika Vatican kushuhudia kuidhinishwa Rasmi kwa kiongozi huyo mpya wa kanisa wakiwemo viongozi wa kidini na kisiasa ambapo… Read More →
Rafiki wa karibu wa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga Jumatatu hii anadaiwa kumpa talaka mke wake baada ya kumsifia Rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta ni ‘handsome’ mbele yake. Kwa mujibu wa mtandao mmoja wa Kenya, mwanasiasa huyo wa chama cha CORD anayetokea magharibi mwa Kenya, alikuwa akitazama taarifa… Read More →