Huyu ndio Pope Mpya
New Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio From: Argentina, Ni pope wa kwanza kutoka America ya Kusini, amezalwa tarehe 17/12/ 1936.
Makardinali wa kanisa katoliki dunia wameshindwa kumchagua Papa mpya katika siku ya kwanza na ya pili ya mkutano wao mjini Vatican. Makardinali hao wanakutana kwa siku ya pili leo kumchagua mrithi wa Papa Benedict, aliyejiuzulu mwezi uliopita. Kura zingine zitapigwa baadaye mchana. Moshi mweusi ulionekana ukitoka kwenye paa la kanisa… Read More →
Makadinali 115 kutoka nchi 48 Jana wameanza mchakato wa kupiga kura ya kumchagua kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki duniani katika ukumbi wa ndani kwenye makao makuu ya Kanisa Katoliki, Vatican.Katika kipindi hiki cha sala hakuna Papa aliewahi kuchaguliwa baada ya kura ya kwanza kupigwa.Makadinali hao watapiga kura za siri hadi mara nne… Read More →
Makao makuu ya kanisa Katoliki duniani Vatican, yametangaza kuwa mchakato wa uchaguzi wa papa mpya utaanza tarehe 12 Machi mwaka huu. Chini ya sheria za mchakato huo, ambao unafanyika kwa njia ya kura ya siri, makardinali 115 wa kikatoliki watachagua hadi mgombea atakapopata theluthi mbili ya kura zote. Kitengo cha… Read More →
Jeneza la aliyekua Rais wa Venezuela Marehemu Hugo Chavez, limepelekwa kwenye chuo cha Kijeshi ambapo litabakia kwa muda wa siku tatu ili kutoa fursa kwa waombolezaji kutoa heshima za mwisho. Tayari baadhi ya viongozi wa juu wametoa heshima zao za mwisho kwa marehemu Chavez sambamba na wanafamilia akiwemo mama mzazi… Read More →
Menyekiti wa jukwaa la wahariri na Muhariri Mkuu wa Habari Co-Operation Ndg. Absoloam Kibanda alie tekwa na kuteswa jana maeneo ya nyumbani kwake mbezi beach jijini Dar Es Salaam Amepelekwa Nchini Afrika ya Kusikini Kwa matibabu zaidi baada ya hali yake kuwa mbaya zaidi. Ndg.Kibanda amepata majeraha upande wa nyuma… Read More →