Beef Ya Meek Mill Na Drake Yachukua Sura Mpya, Fueled By Grammy
Ugomvi wa Drake na Meek Mill umechukua sura mpya ambapo ngoma ya Back to Back ambayo ilikuwa ni diss kwa Meek Mill,ngoma hiyo imeingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za Grammy na kuwa wimbo wa kwanza kuingia katika tuzo za Grammy. Ngoma hiyo inagombea tuzo katika kipengele cha Best Rap Perfomance… Read More →