Mkurugenzi Wa Apple Tim Cook Atangaza Kuwa Yeye Ni SHoga
C.E.O wa kampuni ya Apple Tim Cook, ameweka wazi rasmi kuwa yeye kuwa ni shoga, amesema anajivunia kuwa shoga. Tim Cook aliyasema hayo kwa ajili ya kuwasaidia watu wanaong’ang’ania kuweka wazi jinsia zao katika ripoti iliyochapishwa katika gazeti la biashara la kila wiki Bloomberg. Tim Cook alisisitiza katika jimbo la… Read More →
