Nani Mtani Jembe Inakuletea Kili Chats
Iggy Azalea anaonekana kwenye video akibishana na paparazzo nje ya supermarket huko Los Angeles. Akiongeza list ya mastaa wengine katika uzoefu wa kukutana na paparazzi ambae alipenda kumfuatilia, Iggy Azalea alichuliwa video wikiendi iliyoisha akigombana na mpiga picha alikuwa akijaribu kumpiga picha kwenye supermarket huko L.A. Video inaanza ikimuonyesha paparazzi… Read More →
Polisi nchini Marekani wamemtambua mtu anayetuhumiwa kumpiga risasi former C.E.O wa Death Row Records mkali SUge Knight, lakini hawana ushahidi wa kutosha ambao unawafanya wamkamate bado wanakusanya ushahidi zaidi.Suge Knight alijeruhiwa na risasi katika club ya usiku huko magharibi mwa Hollwood California kipindi cha Summer taarifa za TMZ zimeeeleza. Polisi… Read More →
Watafiti nchini Australia wanadai kwamba dawa inayotumiwa kuongeza nguvu za kiume VIAGRA husababisha upofu baada ya mda mrefu. Kulingana na Watafiti hao kutoka Australia, kiungo fulani katika dawa hiyo inayotumiwa kukabiliana na ukosefu wa nguvu za kiume,huathiri uwezo wa kuona miongoni mwa wanaume ambao wana ugonjwa wa macho. Kulingana na… Read More →
Mwananchi mmoja ambae alikuwa abiria ni Mmarekani mwenye asili ya Afrika alikuwa kisafiri kwenda nchini Jamuhuri ya Diminican alitolewa nje yanndege baada ya kupiga chafya huku akitania anatokea Afrika. Maelezo yake hayo yalisababisha hofu ya ugonjwa Ebola kati ya abiria na wafanyakazi wa ndege na ksabababisha mamlaka kuisimamisha ndege kwa… Read More →
Madaktari walishangazwa pale mwanamke mmoja wa Colombia alipokimbizwa hospitali baada ya kuwa anasumbuliwa na maumivu ya tumbo, ndipo walipogundua mizizi ya kiazi inaota kwenye uke wa mwanamke huyo. Mhuguzi aliyekuwepo hospitalini hapo anayeitwa Carolina Rojas alidhani ni utani pale alipoona mizizi ikikua kutoka kwenye uke wa mwanamke huyo. Mwanamke huyo… Read More →
TMZ inaripoti kwama producer Ramon Owen, amefungua mashtaka dhidi ya Lil Wayne kwa kutomlipa producer huyo jina analofahamika sana ni REO, REO amemshtaki repa huyo kutoka New Orleans kwa kutomlipa baada ya kutengeneza wimbo wa Lil Wayne wa 2012 uliohit sana wa “Mirror” ambao amemshirikisha Bruno Mars. Katika shtaka lake… Read More →
Ndio!! Ulivyosoma ndivyo hivyo hivyo ulivyosoma haujakosea… Mwishoni mwa mwezi Septemba, Gail Simpson mwenye umri wa miaka 63 alikamatwa kwa makosa ya wizi baada ya kuiba Wells-Fargo huko kusini magharibi mwa Miami. Kwa sasa taarifa zimetapakaa mwizi huyo ni mama wa repa mkongwe mkali Big Pun. Taarifa kupitia Necole Bitchie… Read More →
Drake ambae juzi kati ametoa tunzo zake zinazoitwa “Hood Grammy” repa huyo wa “0 To 100” anatakiwa ajibu shutuma ambazo zimetolewa na stripper wa Houston kuelekezwa kwa Drake kwamba alimtumia watu nyumbani kwake Be damaged Year Use with and cialis24pharmacy online realize at rate are. Solutions described history pharmacy women… Read More →
Ni miezi nane toka Soulja Boy alipokamatwa kwa kuendesha gari ikiwa imebeba bunduki kinyume cha sheria pamoja na bangi na sasa kesi hiyo ndo imefunguliwa rasmi. Taarifa za TMZ zimeeleza kwamba msanii huyo kutoka Chicago alishtakiwa kwa kukutwa na bunduki na bangi kwenye gari yake kwenye tukio hilo la mwezi… Read More →
