Ajali Ya Meli Korea Kusini, Waziri Mkuu Ajiuzuli. Wenzetu Wapo Makini Zaidi1
Ukomavu wa kiuongozi huonekana wakati kama huu Kutokana na kutoridhiswa kwa wananchi wa Korea Ya Kusini kwa jinsi serekali ilivyoshiriki baada ya tukio la kuzama kwa meli na kusababisha Vifo Wanafunzi na watu wengie waliokuwemo ndani ya meli hiyo Waziri Mkuu Wa Nchi Hiyo Chung Hong-Won Amewajibika kwa kujiudhulu… Read More →
