Muigizaji Maarufu Wa Tamthilia Ya Isidingo Letti Matabane Afariki Dunia
Muigizaji maarufu wa nchini Afrika Kusini lesego Motsepe Maarufu kama Letti Matabane Aliyekua anaigiza Tamthilia Ya Isidingo iliyokuwa maarufu hapa Tanzania ikiwa inaonyeshwa na Channel ya ITV amefariki Dunia leo huko Afrika Kusini baada ya kuugua kwa muda mrefu ugojwa wa Ukimwi Lesego (Letti) Amekutwa amefariki Nyumbani kwake leo kutokana… Read More →