Imethibitishwa: Kesho Juma Tatu 13.01.14 Ni Siku Ya Mapumziko

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Shein ametangaza kuwa kesho Jumatatu, Januari 13, 2013 itakuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kwa Zanzibar kwa ajili ya kuadhimisha na kusherehekea kumbukumbu ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.Baadaye, Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete alitangaza pia… Read More →